Episodes

  • Pambo la Muumini: Siri ya Tabia Njema – Sheikh Abdallah Humeid
    Apr 2 2026

    Maelezo: "Tabia njema ni kipimo cha imani. Katika mawaidha haya yenye kugusa nyoyo, Sheikh Abdallah Humeidanaelezea kwa kina maana ya kujipamba na tabia njema na athari yake katika jamii.

    Yatakayozungumziwa:

    • Umuhimu wa Akhlaq njema katika Uislamu.
    • Mifano kutoka kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na Maswahaba.
    • Hatua za kivitendo za kubadili tabia mbaya na kuwa na tabia njema.

    Usikose kusikiliza mawaidha haya ili upate mwongozo wa jinsi ya kuwa Muislamu bora mwenye adabu na staha. Hakikisha unasubscribe na kushare na wengine ili kupata thawabu za kheri."

    Show More Show Less
    24 mins